Thursday, July 20, 2017

VITANDA VENYE MANDHARI YA HALI YA JUU

Hivi vitanda ni vya mfumo was marembo ya kichina lakini in miti asilia kama vile mkongo,mninga,mvule,mpangapanga,mnangu,mtondoo,na n.k







Tuesday, July 18, 2017

MILANGO SAFI NA IMARA KWA KUTUMIA MTI ASILI NDIO HII HAPO

Milango ya kiasili miti yake na IPO IMARA zaidi sana kwa wale wanao elewa MILANGO ya mbao za asilia kwahiyo karibuni sana nasi na toa maoni yako










VILE VITANDA VYA KILA MMOJA APATE KWA KIASI ALICHO KUA NACHO CHAGUA MWENYEWE

Model:BUFALO

Model:domo la DIAMOND

 Model: nundu LA NG'OMBE (1)
Model: nundu la NG'OMBE (2)

(A)

(B)

(C)
 Model: SAABUFA
(D)

(E)

(A)
 Model: CHENZA
(B)

Model: SAFI

VITANDA NET (OG) BEI NAAFUU NA VYAMVUTO

Kwa wapenzi wa zitanda ndio hivyo kazi kwenu being nafuu na mbao za asili
To a oda yako au maoni yako tunayapokea


WADAU WA VITANDA 6×5----6×6 MAMBO SAFI KARIBUNI

Dizaini ya hivi vitanda ni AMADA


MASHINE YA KISASA