Tuesday, June 13, 2017

HAYAHAYA UKIWEKA VYOMBO KWENYE BESENI MAKUSUDI

Pata makabari mazuri na bei nafuu sana kama unavyoyaona hapo mpendwa wetu. Yapo makabati ya kuhifadhia vyombo aina mbalimbali na bei tofauti kwa kutumia mti asili kama vile
Mkongo
Mninga
Mtondoo
Mndundu
Mlopolopo
Mnangu
Myombo
Muangala
Na N.K

MAMBO MAZURI HAYAITAJI HASIRA ONA MWENYEWE

Pata vitanda dress table za kisasa. Vitanda vya double. Meza za ofisini. Na  N.K

KWA MAKABATI YA JIKONI NDIO HAYA

Wapwendwa wadau kama unahitaji utengenezaji wa makabati ya jikoni basi wasiliana nasi hapo chini mahala pamaoni au tumia
EMAIL: <> pongwamasiku@gmail.com <>

HAYA NDIO MAKABATI YA UKUTANI NDANI

Kwa wale wanaohitaji kutengenezewe makabati ya ukutani vyumbani kwao au katika majumba yao basi useme jengine  kwani mambo kama unavyoona wasiliana nasi  kupitia kwenye maoni hapo chini asanteni

MASHINE YA KISASA