Sunday, June 11, 2017

KWA WALE WANAOPENDA MEZA ZA CHAKULA NA VITI VYAKE

Ndugu wapendwa kama unavyoona hapo pichani meza za chakula zenye upana tofauti zenye viti kuanzia : "4"--- " 6"---- "8"
Miti tunayotumia
@: mninga
@: mkongo kwajina lengine mkola
@: mtondoo
@: mnangu
@: myombo
Na  N.K
Kwa maelezo zaidi tuma kwenye maoni au wasiliana nasi kwa
EMAIL: <> pongwamasiku@gmail.com <>

No comments:

Post a Comment

MASHINE YA KISASA